2 Kings 4:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elisha akamwita Gehazi na kumwambia, “Mwite yule Mshunami.” Alipoitwa Elisha akamwambia, “Mchukue mwanao.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Al-Yasa akamwita Gehazi na kumwambia, “Mwite huyo Mshunami.” Naye akafanya hivyo. Yule Mshunami alipokuja, Al-Yasa akasema, “Mchukue mwanao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwita Gehazi, akasema, Mwite yule Mshunami. Basi akamwita. Na alipofika kwake, Elisha akasema, Haya! Mchukue mwanao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elisha akamwita Gehazi na kumwambia, “Mwite yule Mshunami.” Alipoitwa Elisha akamwambia, “Mchukue mwanao.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Elisha akamwita Gehazi na kumwambia, “Mwite huyo Mshunami.” Naye akafanya hivyo. Yule Mshunami alipokuja, Elisha akasema, “Mchukue mwanao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Al-Yasa akamwita Gehazi na kumwambia, “Mwite huyo Mshunami.” Naye akafanya hivyo. Yule Mshunami alipokuja, Al-Yasa akasema, “Mchukue mwanao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwita Gehazi, akasema, Mwite yule Mshunami. Basi akamwita. Na alipofika kwake, Elisha akasema, Haya! Mchukue mwanao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elisha akamwita Gehazi na kumwambia, “Mwite yule Mshunami.” Alipoitwa Elisha akamwambia, “Mchukue mwanao.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwita Gehazi, akamwambia: Mwite huyo mwanamke wa Sunemu! Akamwita. Alipoingia kwake, akamwambia: Mchukue mwanao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwita Gehazi, akasema, Mwite yule Mshunami. Basi akamwita. Na alipofika kwake, Elisha akasema, Haya! Mchukue mwanao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elisha akamwita Gehazi na kumwambia: “Umwite yule Musunami.” Alipoitwa Elisha akamwambia: “Kamata mwana wako.”