2 Kings 4:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akainama miguuni pa Elisha kwa shukrani na kumchukua mwanawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaingia ndani, akaanguka miguuni pa Al-Yasa na kusujudu hadi chini. Kisha akamchukua mwanawe na kutoka nje.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo akaingia, akamwangukia miguu akainama mpaka nchi; kisha akamchukua mwanawe, akatoka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akainama miguuni pa Elisha kwa shukrani na kumchukua mwanawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaingia ndani, akaanguka miguuni pa Elisha na kusujudu hadi nchi. Kisha akamchukua mwanawe na kutoka nje.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaingia ndani, akaanguka miguuni pa Al-Yasa na kusujudu hadi nchi. Kisha akamchukua mwanawe na kutoka nje.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo akaingia, akamwangukia miguuni akainama mpaka chini; kisha akamchukua mwanawe, akatoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akainama miguuni pa Elisha kwa shukrani na kumchukua mwanawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaja, akamwangukia miguuni pake na kumwinamia; kisha akamchukua mwanawe, akatoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo akaingia, akamwangukia miguu akainama mpaka nchi; kisha akamchukua mwanawe, akatoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akainama kwenye miguu ya Elisha kwa shukrani na kumukamata mwana wake.