2 Kings 4:40 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chakula kikapakuliwa. Lakini walipokionja wakamlilia Elisha wakisema, “Ee mtu wa Mungu, chakula hiki kitatuua!” Nao hawakuweza kukila.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mchuzi ukagawiwa watu, lakini walipoanza kula, wakalia, “Ee mtu wa Mungu, kuna mauti ndani ya chungu.” Nao hawakuweza kula.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakawapakulia hao watu ili wale. Ikawa, walipokuwa katika kula chakula, wakapiga kelele, wakasema, Mauti imo sufuriani, Ee mtu wa Mungu. Wala hawakuweza kula.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chakula kikapakuliwa. Lakini walipokionja wakamlilia Elisha wakisema, “Ee mtu wa Mungu, chakula hiki kitatuua!” Nao hawakuweza kukila.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mchuzi ukagawiwa watu, lakini walipoanza kula, wakalia, “Ee mtu wa Mungu, kuna mauti ndani ya chungu.” Nao hawakuweza kula.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mchuzi ukagawiwa watu, lakini walipoanza kula, wakalia, “Ee mtu wa Mungu, kuna mauti ndani ya chungu.” Nao hawakuweza kula.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakawapakulia hao watu ili wale. Ikawa, walipokuwa katika kula chakula, wakapiga kelele, wakasema, Mauti imo sufuriani, Ee mtu wa Mungu. Wala hawakuweza kula.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chakula kikapakuliwa. Lakini walipokionja wakamlilia Elisha wakisema, “Ee mtu wa Mungu, chakula hiki kitatuua!” Nao hawakuweza kukila.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakawaita watu, waje kula. Ikawa, walipokila chakula hicho wakalia kwamba: Kifo kimo chunguni, wewe mtu wa Mungu! Hawakuweza kula.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakawapakulia hao watu ili wale. Ikawa, walipokuwa katika kula chakula, wakapiga kelele, wakasema, Mauti imo sufuriani, Ee mtu wa Mungu. Wala hawakuweza kula.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Chakula kikapakuliwa. Lakini walipokionja wakamulilia Elisha wakisema: “Ee mutu wa Mungu, chakula hiki kitatuua!” Nao hawakuweza kukikula.