2 Kings 4:44 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtumishi wake akawaandalia chakula, wakala wote wakashiba, na kingine kikabaki, kama Mwenyezi-Mungu alivyosema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi akaiandaa mbele yao ile mikate, wakala na baadhi yake wakasaza, sawasawa na neno la Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akawaandikia, nao wakala, wakasaza, sawasawa na neno la Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtumishi wake akawaandalia chakula, wakala wote wakashiba, na kingine kikabaki, kama Mwenyezi-Mungu alivyosema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi akaiandaa mbele yao ile mikate, wakala na baadhi yake wakasaza, sawasawa na neno la BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi akaiandaa mbele yao ile mikate, wakala na baadhi yake wakasaza, sawasawa na neno la bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akawaandalia, nao wakala, wakasaza, sawasawa na neno la BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtumishi wake akawaandalia chakula, wakala wote wakashiba, na kingine kikabaki, kama Mwenyezi-Mungu alivyosema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipowaandalia, wakala, wakasaza, kama Bwana alivyosema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akawaandikia, nao wakala, wakasaza, sawasawa na neno la BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutumishi wake akawatayarishia chakula, wakakula na kushiba, na kingine kikabaki, kama vile Yawe alivyosema.