2 Kings 4:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akaenda na kujifungia ndani ya nyumba na wanawe na kuanza kumimina mafuta ndani ya vyombo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule mjane akaondoka na kujifungia ndani, yeye na wanawe. Wao wakamletea vyombo, naye akaendelea kumimina mafuta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akamwacha, akajifungia mlango yeye na wanawe; hao wakamletea vile vyombo, na yeye akamimina.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akaenda na kujifungia ndani ya nyumba na wanawe na kuanza kumimina mafuta ndani ya vyombo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule mjane akaondoka na kujifungia ndani, yeye na wanawe. Wao wakamletea vyombo naye akaendelea kumimina mafuta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule mjane akaondoka na kujifungia ndani, yeye na wanawe. Wao wakamletea vyombo, naye akaendelea kumimina mafuta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akamwacha, akajifungia mlango yeye na wanawe; hao wakamletea vile vyombo, na yeye akamimina.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akaenda na kujifungia ndani ya nyumba na wanawe na kuanza kumimina mafuta ndani ya vyombo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaondoka kwake, akaja kuufunga mlango nyuma yake na nyuma ya wanawe; nao wakamletea vyombo, naye akavitia mafuta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akamwacha, akajifungia mlango yeye na wanawe; hao wakamletea vile vyombo, na yeye akamimina.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akaenda na kujifungia ndani ya nyumba na wana wake na kuanza kumimia mafuta ndani ya vyombo.