2 Kings 5:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elisha akamtuma mtumishi wake amwambie, “Nenda ukaoge mara saba mtoni Yordani, nawe utapona kabisa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Al-Yasa akamtuma mjumbe kumwambia, “Nenda uoge katika Yordani mara saba, na nyama ya mwili wako itapona, nawe utatakasika.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Elisha akampelekea mjumbe, akisema, Enenda ukaoge katika Yordani mara saba, na nyama ya mwili wako itakurudia, nawe utakuwa safi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elisha akamtuma mtumishi wake amwambie, “Nenda ukaoge mara saba mtoni Yordani, nawe utapona kabisa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Elisha akamtuma mjumbe kumwambia, “Nenda ukaoge katika Mto Yordani mara saba, na nyama ya mwili wako itapona nawe utatakasika.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Al-Yasa akamtuma mjumbe kumwambia, “Nenda uoge katika Yordani mara saba, na nyama ya mwili wako itapona, nawe utatakasika.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Elisha akampelekea mjumbe, akisema, Nenda ukaoge katika Yordani mara saba, na nyama ya mwili wako itakurudia, nawe utakuwa safi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elisha akamtuma mtumishi wake amwambie, “Nenda ukaoge mara saba mtoni Yordani, nawe utapona kabisa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Elisa akatuma mjumbe kwake kumwambia: Nenda koga mara saba mle Yordani! Ndivyo, nyama za mwili wako zitakavyokuwa nzuri tena, nawe utatakata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Elisha akampelekea mjumbe, akisema, Enenda ukaoge katika Yordani mara saba, na nyama ya mwili wako itakurudia, nawe utakuwa safi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elisha akamutuma mutumishi wake amwambie: “Kwenda uoge mara saba katika muto Yordani, nawe utapona kabisa.”