2 Kings 5:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Isitoshe, je, mito Abana na Farpari ya huko Damasko si bora kuliko mito yote ya Israeli? Je, nisingeweza kuoga humo na kupona?” Akaondoka na kurudi nyumbani, huku amekasirika sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, Abana na Farpari, mito ya Dameski, si bora kuliko mito yoyote ya Israeli? Je, nisingeweza kuoga ndani ya hiyo mito na kutakasika?” Basi akageuka na kuondoka kwa hasira kuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Abana na Farpari, mito ya Dameski, si bora kuliko maji yote ya Israeli? Je! Siwezi kujiosha ndani yake, na kuwa safi? Akageuka, akaondoka kwa hasira.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Isitoshe, je, mito Abana na Farpari ya huko Damasko si bora kuliko mito yote ya Israeli? Je, nisingeweza kuoga humo na kupona?” Akaondoka na kurudi nyumbani, huku amekasirika sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, Abana na Farpari, mito ya Dameski, si bora zaidi kuliko mito yo yote ya Israeli? Je, nisingeweza kuoga ndani ya hiyo mito na kutakasika?” Basi akageuka na kuondoka kwa hasira kuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, Abana na Farpari, mito ya Dameski, si bora zaidi kuliko mito yoyote ya Israeli? Je, nisingeweza kuoga ndani ya hiyo mito na kutakasika?” Basi akageuka na kuondoka kwa hasira kuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Abana na Farpari, mito ya Dameski, si bora kuliko maji yote ya Israeli? Je! Siwezi kujiosha ndani yake, na kuwa safi? Akageuka, akaondoka kwa hasira.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Isitoshe, je, mito Abana na Farpari ya huko Damasko si bora kuliko mito yote ya Israeli? Je, nisingeweza kuoga humo na kupona?” Akaondoka na kurudi nyumbani, huku amekasirika sana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena ile mito ya Damasko, Abana na Paripari, siyo mizuri kuliko maji yote ya Isiraeli? Siwezi koga humo, nipate kutakata? Kwa hiyo akageuka, akaenda zake na kuchafuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Abana na Farpari, mito ya Dameski, si bora kuliko maji yote ya Israeli? Je! Siwezi kujiosha ndani yake, na kuwa safi? Akageuka, akaondoka kwa hasira.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaidi ya ile, mito Abana na Farpari ya kule Damasiki si bora kuliko mito yote ya Israeli? Nisingeweza kuoga mule na kupona?” Akaondoka na kurudi kwake, naye alikasirika sana.