2 Kings 5:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elisha akamwambia, “Nenda kwa amani.” Naamani akaenda zake. Alipokuwa bado hajaenda mbali,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Al-Yasa akamwambia, “Nenda kwa amani.” Baada ya Naamani kusafiri umbali fulani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia, Enenda kwa amani Basi akamwondokea mbali kidogo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elisha akamwambia, “Nenda kwa amani.” Naamani akaenda zake. Alipokuwa bado hajaenda mbali,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Elisha akamwambia, “Nenda kwa amani.” Baada ya Naamani kusafiri umbali fulani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Al-Yasa akamwambia, “Nenda kwa amani.” Baada ya Naamani kusafiri umbali fulani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Elisha akamwambia, Nenda kwa amani. Lakini Naamani alipokuwa ameenda mbali kidogo,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elisha akamwambia, “Nenda kwa amani.” Naamani akaenda zake. Alipokuwa bado hajaenda mbali,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwambia: Jiendee na kutengemana! Ndipo, alipotoka kwake.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia, Enenda kwa amani Basi akamwondokea mbali kidogo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elisha akamwambia: “Kwenda kwa amani.” Namani akaenda zake. Alipokuwa bado hajafika mbali,