2 Kings 5:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika vita walivyokuwa wakipigana na Israeli, Waaramu walikuwa wamemchukua msichana mmoja mdogo kutoka Israeli, naye akawa anamtumikia mke wa Naamani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku hizo vikosi kutoka Aramu vilikuwa vimeenda na vikawa vimemteka msichana kutoka Israeli, naye akamtumikia mkewe Naamani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Washami walikuwa wametoka vikosi, wakachukua mfungwa mmoja kijana mwanamke kutoka nchi ya Israeli; naye akamhudumia mkewe Naamani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika vita walivyokuwa wakipigana na Israeli, Waaramu walikuwa wamemchukua msichana mmoja mdogo kutoka Israeli, naye akawa anamtumikia mke wa Naamani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Panapo siku hizo vikosi kutoka Aramu vilikuwa vimekwenda na vikawa vimemchukua mateka msichana kutoka Israeli, naye akamtumikia mkewe Naamani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku hizo vikosi kutoka Aramu vilikuwa vimekwenda na vikawa vimemteka msichana kutoka Israeli, naye akamtumikia mkewe Naamani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Washami walikuwa wametoka vikosi, wakachukua mfungwa mmoja kijana mwanamke kutoka nchi ya Israeli; naye akamhudumia mkewe Naamani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika vita walivyokuwa wakipigana na Israeli, Waaramu walikuwa wamemchukua msichana mmoja mdogo kutoka Israeli, naye akawa anamtumikia mke wa Naamani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zilizopita, Washami walipokuwa wametoka kwao vikosi kwa vikosi, waliteka katika nchi ya Waisiraeli mtoto mdogo wa kike, naye akamtumikia mkewe Namani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Washami walikuwa wametoka vikosi, wakachukua mfungwa mmoja kijana mwanamke kutoka nchi ya Israeli; naye akamhudumia mkewe Naamani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika vita walivyokuwa wakipigana na Waisraeli, Waaramu walikuwa wamemukamata binti mumoja mudogo kutoka Israeli kuwa mufungwa, naye akakuwa anamutumikia muke wa Namani.