2 Kings 5:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu Gehazi akaingia nyumbani kwa Elisha na kuanza kumhudumia. Elisha akamwuliza, “Ulikwenda wapi?” Gehazi akajibu, “Sikuenda mahali popote.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akaingia ndani na kusimama mbele ya Al-Yasa bwana wake. Al-Yasa akamuuliza, “Gehazi, ulikuwa wapi?” Gehazi akajibu, “Mtumishi wako hakuenda popote.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini yeye akaingia, akasimama mbele ya bwana wake. Elisha akamwambia, Watoka wapi, Gehazi? Akanena, Mtumwa wako hakuenda mahali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu Gehazi akaingia nyumbani kwa Elisha na kuanza kumhudumia. Elisha akamwuliza, “Ulikwenda wapi?” Gehazi akajibu, “Sikuenda mahali popote.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akaingia ndani na kusimama mbele ya Elisha bwana wake. Elisha akamwuliza, “Gehazi, ulikuwa wapi?” Gehazi akajibu, “Mtumishi wako hakwenda po pote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akaingia ndani na kusimama mbele ya Al-Yasa bwana wake. Al-Yasa akamuuliza, “Gehazi, ulikuwa wapi?” Gehazi akajibu, “Mtumishi wako hakwenda popote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini yeye akaingia, akasimama mbele ya bwana wake. Elisha akamwambia, Watoka wapi, Gehazi? Akanena, Mtumwa wako hakuenda mahali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu Gehazi akaingia nyumbani kwa Elisha na kuanza kumhudumia. Elisha akamwuliza, “Ulikwenda wapi?” Gehazi akajibu, “Sikuenda mahali popote.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye alipoingia kumtumikia bwana wake, Elisa akamwuliza: Unatoka wapi, Gehazi? Akajibu: Mtumishi wako hakwenda huko wala huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini yeye akaingia, akasimama mbele ya bwana wake. Elisha akamwambia, Watoka wapi, Gehazi? Akanena, Mtumwa wako hakuenda mahali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Gehazi akaingia kwa Elisha na kuanza kumutumikia. Elisha akamwuliza: “Unatoka wapi?” Gehazi akajibu: “Sikuenda nafasi yoyote.”