2 Kings 5:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku moja akamwambia bibi yake, mke wa Naamani, “Laiti bwana wangu angekwenda na kumwona yule nabii aliyeko Samaria! Angemponya ugonjwa wake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamwambia bibi yake, “Kama bwana wangu angemwona nabii aliye huko Samaria! Angemponya ukoma wake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia bibi yake, Laiti bwana wangu angekuwa pamoja na yule nabii aliyeko Samaria! Maana angemponya ukoma wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku moja akamwambia bibi yake, mke wa Naamani, “Laiti bwana wangu angekwenda na kumwona yule nabii aliyeko Samaria! Angemponya ugonjwa wake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamwambia bibi yake, “Kama bwana wangu angelimwona nabii aliyeko Samaria! Angemponya ukoma wake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamwambia bibi yake, “Kama bwana wangu angelimwona nabii aliyeko Samaria! Angemponya ukoma wake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia bibi yake, Laiti bwana wangu angekuwa pamoja na yule nabii aliyeko Samaria! Maana angemponya ukoma wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku moja akamwambia bibi yake, mke wa Naamani, “Laiti bwana wangu angekwenda na kumwona yule nabii aliyeko Samaria! Angemponya ugonjwa wake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huyu akamwambia bibi wake: Kama bwana wangu angemtokea mfumbuaji alioko huko Samaria, yeye angemponya ukoma wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia bibi yake, Laiti bwana wangu angekuwa pamoja na yule nabii aliyeko Samaria! Maana angemponya ukoma wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku moja akamwambia bibi yake, muke wa Namani: “Ingekuwa heri bwana wangu angekwenda na kumwona yule nabii anayekuwa Samaria! Angemuponyesha ugonjwa wake.”