2 Kings 5:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naamani alipopata habari hizi, akaenda kwa mfalme na kumweleza habari za mtoto huyu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naamani akaenda kwa bwana wake na kumwambia alichosema yule msichana kutoka Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu mmoja akaingia, akamwambia bwana wake, akasema, Yule kijana mwanamke aliyetoka nchi ya Israeli asema hivi na hivi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naamani alipopata habari hizi, akaenda kwa mfalme na kumweleza habari za mtoto huyu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naamani akaenda kwa bwana wake na kumwambia alichosema yule msichana kutoka Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naamani akaenda kwa bwana wake na kumwambia alichosema yule msichana kutoka Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu mmoja akaingia, akamwambia bwana wake, akasema, Yule kijana mwanamke aliyetoka nchi ya Israeli asema hivi na hivi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naamani alipopata habari hizi, akaenda kwa mfalme na kumweleza habari za mtoto huyu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Namani alipokwenda kwa bwana wake kumsimulia kwamba: Yule mtoto aliyetoka katika nchi ya Waisiraeli amesema hivi na hivi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu mmoja akaingia, akamwambia bwana wake, akasema, Yule kijana mwanamke aliyetoka nchi ya Israeli asema hivi na hivi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Namani alipopata habari hii, akaenda kwa mufalme na kumwelezea habari za mutoto yule.