2 Kings 5:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Barua yenyewe iliandikwa hivi, “Barua hii ni ya kumtambulisha kwako ofisa wangu Naamani. Nataka umtibu huu ugonjwa wake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Barua aliyopelekea mfalme wa Israeli iliandikwa hivi: “Pamoja na barua hii ninamtuma mtumishi wangu, Naamani, kwako ili uweze kumponya ukoma wake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akampelekea mfalme wa Israeli waraka ule, kusema, Waraka huu utakapokuwasilia, tazama, nimemtuma mtumishi wangu Naamani kwako, ili upate kumponya ukoma wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Barua yenyewe iliandikwa hivi, “Barua hii ni ya kumtambulisha kwako ofisa wangu Naamani. Nataka umtibu huu ugonjwa wake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Barua aliyokuwa ameichukua ili aipeleke kwa mfalme wa Israeli ilisomeka hivi: “Pamoja na barua hii ninamtuma mtumishi wangu Naamani kwako ili uweze kumponya ukoma wake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Barua aliyopelekea mfalme wa Israeli iliandikwa hivi: “Pamoja na barua hii ninamtuma mtumishi wangu, Naamani, kwako ili uweze kumponya ukoma wake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akampelekea mfalme wa Israeli waraka ule, kusema, Waraka huu utakapokuwasilia, tazama, nimemtuma mtumishi wangu Naamani kwako, ili upate kumponya ukoma wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Barua yenyewe iliandikwa hivi, “Barua hii ni ya kumtambulisha kwako ofisa wangu Naamani. Nataka umtibu huu ugonjwa wake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akampelekea mfalme wa Waisiraeli ile barua iliyosema: Hapo, barua hii itakapofika kwako, utamwona mtumishi wangu Namani, ninayemtuma kwako, umponye ukoma wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akampelekea mfalme wa Israeli waraka ule, kusema, Waraka huu utakapokuwasilia, tazama, nimemtuma mtumishi wangu Naamani kwako, ili upate kumponya ukoma wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Barua yenyewe iliandikwa hivi: “Ninakutumia jemadari wangu Namani pamoja na barua hii, kusudi upate kumuponyesha ugonjwa wake.”