2 Kings 5:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naamani akaenda na farasi wake na gari lake mpaka mlangoni mwa Elisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Naamani akaenda, akiwa na farasi wake na magari yake ya vita, na kusimama mlangoni mwa nyumba ya Al-Yasa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Naamani akaja na farasi wake na magari yake, akasimama mlangoni pa nyumba ya Elisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naamani akaenda na farasi wake na gari lake mpaka mlangoni mwa Elisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Naamani akaenda akiwa na farasi wake na magari yake na kusimama mlangoni mwa nyumba ya Elisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Naamani akaenda, akiwa na farasi zake na magari yake, na kusimama mlangoni mwa nyumba ya Al-Yasa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Naamani akaja na farasi wake na magari yake, akasimama mlangoni pa nyumba ya Elisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naamani akaenda na farasi wake na gari lake mpaka mlangoni mwa Elisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Namani alipokuja na farasi wake na magari yake, akasimama mlangoni penye nyumba ya Elisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Naamani akaja na farasi wake na magari yake, akasimama mlangoni pa nyumba ya Elisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Namani akaenda na farasi wake na gari lake mpaka kwenye mulango wa Elisha.