2 Kings 6:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku moja, wanafunzi wa manabii walimlalamikia Elisha wakisema, “Mahali hapa tunapokaa ni padogo sana kwetu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa manabii wakamwambia Al-Yasa, “Tazama, mahali hapa tunapokutana nawe ni padogo sana kwetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha, wana wa manabii wakamwambia Elisha, Angalia basi, mahali tukaapo mbele yako ni padogo kwetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku moja, wanafunzi wa manabii walimlalamikia Elisha wakisema, “Mahali hapa tunapokaa ni padogo sana kwetu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa manabii wakamwambia Elisha, “Tazama, mahali hapa tunapoishi chini ya uongozi wako ni padogo sana kwa ajili yetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa manabii wakamwambia Al-Yasa, “Tazama, mahali hapa tunapokutana nawe ni padogo sana kwetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha, wana wa manabii wakamwambia Elisha, Angalia basi, mahali tukaapo mbele yako ni padogo kwetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku moja, wanafunzi wa manabii walimlalamikia Elisha wakisema, “Mahali hapa tunapokaa ni padogo sana kwetu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanafunzi wa wafumbuaji wakamwambia Elisa: Tazama, mahali hapa, tunapokaa machoni pako, ni padogo, hatuenei hapa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha, wana wa manabii wakamwambia Elisha, Angalia basi, mahali tukaapo mbele yako ni padogo kwetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku moja, wanafunzi wa manabii walimulalamikia Elisha wakisema: “Pahali hapa tunapokaa ni padogo sana kwetu!