2 Kings 6:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtumishi wa Elisha alipoamka mapema kesho yake na kutoka nje, akaona jeshi pamoja na farasi na magari ya kukokotwa limeuzingira mji. Akarudi ndani akasema, “Ole wetu, ee, Bwana wangu! Sasa tutafanya nini?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kesho yake asubuhi na mapema, mtumishi wa mtu wa Mungu alipoamka na kutoka nje, jeshi, pamoja na farasi na magari ya vita, likawa limeuzunguka mji. Mtumishi wake akasema, “Ole wetu, bwana wangu! Tutafanya nini?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata asubuhi na mapema mtumishi wake yule mtu wa Mungu alipoondoka, na kwenda nje, kumbe! Pana jeshi la watu, na farasi na magari, wameuzingira mji ule. Mtumishi wake akamwambia, Ole wetu! Bwana wangu, tufanyeje?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtumishi wa Elisha alipoamka mapema kesho yake na kutoka nje, akaona jeshi pamoja na farasi na magari ya kukokotwa limeuzingira mji. Akarudi ndani akasema, “Ole wetu, ee, Bwana wangu! Sasa tutafanya nini?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kesho yake asubuhi na mapema mtumishi wa mtu wa Mungu alipoamka na kutoka nje, jeshi pamoja na farasi na magari ya vita likawa limeuzunguka mji. Mtumishi wake akasema, “Ole wetu bwana wangu! Tutafanya nini?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kesho yake asubuhi na mapema, mtumishi wa mtu wa Mungu alipoamka na kutoka nje, jeshi, pamoja na farasi na magari ya vita, likawa limeuzunguka mji. Mtumishi wake akasema, “Ole wetu, bwana wangu! Tutafanya nini?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata asubuhi na mapema mtumishi wake yule mtu wa Mungu alipoondoka, na kwenda nje, kumbe! Pana jeshi la watu, na farasi na magari, wameuzingira mji ule. Mtumishi wake akamwambia, Ole wetu! Bwana wangu, tufanyeje?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtumishi wa Elisha alipoamka mapema kesho yake na kutoka nje, akaona jeshi pamoja na farasi na magari ya kukokotwa limeuzingira mji. Akarudi ndani akasema, “Ole wetu, ee, Bwana wangu! Sasa tutafanya nini?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtumishi wa yule mtu wa Mungu alipoamka asubuhi, aondoke kutoka nje, akaona, ya kuwa kiko kikosi kinachouzunguka huo mji pamoja na farasi na magari; ndipo, yule mtoto wake alipomwambia: E bwana wangu, tufanyeje?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata asubuhi na mapema mtumishi wake yule mtu wa Mungu alipoondoka, na kwenda nje, kumbe! Pana jeshi la watu, na farasi na magari, wameuzingira mji ule. Mtumishi wake akamwambia, Ole wetu! Bwana wangu, tufanyeje?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutumishi wa Elisha alipoamuka mapema kesho yake na kutoka inje, akaona waaskari pamoja na farasi na magari ya vita wameuzunguka muji. Akarudi ndani akasema: “Ole wetu, ee, Bwana wangu! Sasa tutafanya nini?”