2 Kings 6:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elisha akamjibu, “Usiogope kwa sababu walio pamoja nasi ni wengi kuliko walio pamoja nao.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nabii akajibu, “Usiogope. Wale walio pamoja nasi ni wengi kuliko wale walio pamoja nao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamjibu, Usiogope; maana walio pamoja nasi ni wengi kuliko wale walio pamoja nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elisha akamjibu, “Usiogope kwa sababu walio pamoja nasi ni wengi kuliko walio pamoja nao.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nabii akajibu, “Usiogope. Wale walio pamoja nasi ni wengi zaidi kuliko wale walio pamoja nao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nabii akajibu, “Usiogope. Wale walio pamoja nasi ni wengi zaidi kuliko wale walio pamoja nao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamjibu, Usiogope; maana walio pamoja nasi ni wengi kuliko wale walio pamoja nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elisha akamjibu, “Usiogope kwa sababu walio pamoja nasi ni wengi kuliko walio pamoja nao.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akajibu: Usiogope! Kwani walio upande wetu ndio wengi kuliko wao walio upande wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamjibu, Usiogope; maana walio pamoja nasi ni wengi kuliko wale walio pamoja nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elisha akamujibu: “Usiogope kwa sababu wanaokuwa pamoja nasi ni wengi kuliko wanaokuwa pamoja nao.”