2 Kings 6:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Turuhusu twende Yordani tukate miti ili tujijengee mahali patakapotutosha.” Elisha akawajibu, “Nendeni.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Twendeni Yordani, ambapo kila mmoja wetu anaweza kupata nguzo moja, nasi tujenge huko mahali petu pa kuishi.” Naye akawaambia, “Nendeni.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi twende mpaka Yordani, twakuomba, tutwae huko kila mtu mti mmoja, ili tujifanyie huko mahali pa kukaa. Akajibu, Haya! Nendeni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Turuhusu twende Yordani tukate miti ili tujijengee mahali patakapotutosha.” Elisha akawajibu, “Nendeni.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Twendeni Yordani, mahali ambapo kila mmoja wetu anaweza kupata nguzo moja, nasi tujenge huko mahali petu pa kuishi.” Naye akawaambia, “Nendeni.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Twendeni Yordani, mahali ambapo kila mmoja wetu anaweza kupata nguzo moja, nasi tujenge huko mahali petu pa kuishi.” Naye akawaambia, “Nendeni.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi twende mpaka Yordani, twakuomba, tutwae huko kila mtu mti mmoja, ili tujifanyie huko mahali pa kukaa. Akajibu, Haya! Nendeni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Turuhusu twende Yordani tukate miti ili tujijengee mahali patakapotutosha.” Elisha akawajibu, “Nendeni.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na twende Yordani, tuchukue huko kila mtu nguzo moja, tujitengenezee huko mahali pa kukaa. Akajibu: Nendeni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi twende mpaka Yordani, twakuomba, tutwae huko kila mtu mti mmoja, ili tujifanyie huko mahali pa kukaa. Akajibu, Haya! Nendeni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uturuhusu tuende Yordani tukate kila mutu muti mumoja kusudi tujijengee pahali pa kututoshelea.” Elisha akawajibu: “Mwende.”