2 Kings 6:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara walipoingia mjini, Elisha akaomba, akisema, “Ee Mwenyezi-Mungu, wafumbue macho ili waone.” Mwenyezi-Mungu akasikia ombi lake, akawafumbua macho. Nao wakajikuta wako katikati ya mji wa Samaria.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kuingia mjini, Al-Yasa akasema, “Mwenyezi Mungu, yafungue macho ya watu hawa ili wapate kuona.” Ndipo Mwenyezi Mungu akayafungua macho yao, na walipotazama, kumbe hapo ndipo walipojikuta, ndani ya Samaria.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata walipokwisha kuingia Samaria, Elisha akasema, Bwana wafumbue macho watu hawa, wapate kuona. Bwana akawafumbua macho wakaona; kumbe! Walikuwa katikati ya Samaria.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara walipoingia mjini, Elisha akaomba, akisema, “Ee Mwenyezi-Mungu, wafumbue macho ili waone.” Mwenyezi-Mungu akasikia ombi lake, akawafumbua macho. Nao wakajikuta wako katikati ya mji wa Samaria.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya kuingia mjini, Elisha akasema, “BWANA, yafungue macho ya watu hawa ili wapate kuona.” Ndipo BWANA akayafungua macho yao na walipotazama, kumbe hapo ndipo walipojikuta, ndani ya Samaria.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya kuingia mjini, Al-Yasa akasema, “ bwana, yafungue macho ya watu hawa ili wapate kuona.” Ndipo bwana akayafungua macho yao, na walipotazama, kumbe hapo ndipo walipojikuta, ndani ya Samaria.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata walipokwisha kuingia Samaria, Elisha akasema, BWANA wafumbue macho watu hawa, wapate kuona. BWANA akawafumbua macho wakaona; kumbe! Walikuwa katikati ya Samaria.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara walipoingia mjini, Elisha akaomba, akisema, “Ee Mwenyezi-Mungu, wafumbue macho ili waone.” Mwenyezi-Mungu akasikia ombi lake, akawafumbua macho. Nao wakajikuta wako katikati ya mji wa Samaria.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipofika Samaria, Elisa akasema: Bwana, wafumbue watu hawa macho! Ndipo, Bwana alipowafumbua macho, wakaona, ya kuwa wameingia katikati ya mji wa Samaria.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata walipokwisha kuingia Samaria, Elisha akasema, BWANA wafumbue macho watu hawa, wapate kuona. BWANA akawafumbua macho wakaona; kumbe! Walikuwa katikati ya Samaria.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mara tu walipoingia katika muji, Elisha akaomba, akisema: “Ee Yawe, uwafumbue macho kusudi waone.” Yawe akasikia ombi lake, akawafumbua macho. Nao wakajikuta wako katikati ya muji wa Samaria.