2 Kings 6:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme wa Israeli alipowaona Waaramu, alimwuliza Elisha, “Je, baba, niwaue?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati mfalme wa Israeli aliwaona, akamuuliza Al-Yasa, “Je, baba yangu, niwaue?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye mfalme wa Israeli alipowaona, akamwambia Elisha, Ee baba yangu, niwapige? Niwapige?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme wa Israeli alipowaona Waaramu, alimwuliza Elisha, “Je, baba, niwaue?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati mfalme wa Israeli alipowaona, akamwuliza Elisha, “Je, baba yangu, niwaue?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati mfalme wa Israeli alipowaona, akamuuliza Al-Yasa, “Je, baba yangu, niwaue?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye mfalme wa Israeli alipowaona, akamwambia Elisha, Ee baba yangu, niwapige? Niwapige?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme wa Israeli alipowaona Waaramu, alimwuliza Elisha, “Je, baba, niwaue?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme wa Waisiraeli alipowaona akamwuliza Elisa: Baba, niwapige? Ukisema, nitawapiga!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye mfalme wa Israeli alipowaona, akamwambia Elisha, Ee baba yangu, niwapige? Niwapige?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme wa Israeli alipowaona Waaramu, alimwuliza Elisha: “Niwaue?”