2 Kings 6:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matokeo yake ilikuwa njaa kali katika mji wa Samaria. Kichwa cha punda kiligharimu vipande themanini vya fedha, na gramu 100 za mavi ya njiwa ziligharimu vipande vitano vya fedha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kukawa na njaa kuu katika mji. Samaria ilizingirwa kwa muda mrefu, kiasi kwamba kichwa cha punda kiliuzwa kwa shekeli themanini za fedha, na robo ya kibaba cha mavi ya njiwa kiliuzwa kwa shekeli tano za fedha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Njaa ikawa kuu huko Samaria; na tazama, wakauhusuru, hata kichwa cha punda kikapata kuuzwa kwa vipande themanini vya fedha, na kibaba cha mavi ya njiwa kwa vipande vitano vya fedha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matokeo yake ilikuwa njaa kali katika mji wa Samaria. Kichwa cha punda kiligharimu vipande themanini vya fedha, na gramu 100 za mavi ya njiwa ziligharimu vipande vitano vya fedha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kukawa na njaa kuu katika mji, Samaria ilizingirwa kwa muda mrefu kiasi kwamba kichwa cha punda kiliuzwa kwa shekeli themanini za fedha, robo ya kibaba cha mavi ya njiwa kiliuzwa kwa shekeli tano za fedha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kukawa na njaa kuu katika mji. Samaria ilizingirwa kwa muda mrefu, kiasi kwamba kichwa cha punda kiliuzwa kwa shekeli themanini za fedha, na robo ya kibaba cha mavi ya njiwa kiliuzwa kwa shekeli tano za fedha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Njaa ikawa kuu huko Samaria; na tazama, wakauhusuru, hata kichwa cha punda kikapata kuuzwa kwa vipande themanini vya fedha, na kibaba cha mavi ya njiwa kwa vipande vitano vya fedha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matokeo yake ilikuwa njaa kali katika mji wa Samaria. Kichwa cha punda kiligharimu vipande themanini vya fedha, na gramu 100 za mavi ya njiwa ziligharimu vipande vitano vya fedha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mle Samaria ikajamo njaa kubwa; hapo, walipousonga kwa kuuzinga, kichwa cha punda kikapata kuuzwa kwa fedha 80, ndio shilingi 320, nacho kibaba cha mavi ya njiwa kikapata fedha 5, ndio shilingi 20.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Njaa ikawa kuu huko Samaria; na tazama, wakauhusuru, hata kichwa cha punda kikapata kuuzwa kwa vipande themanini vya fedha, na kibaba cha mavi ya njiwa kwa vipande vitano vya fedha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Matokeo yake ilikuwa njaa kali katika muji wa Samaria. Kichwa cha punda kilinunuliwa kwa vikoroti makumi tatu vya feza, na grama mia moja za mavi ya njiwa zilinunuliwa kwa vikoroti vitano vya feza.