2 Kings 6:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shida yako ni nini?” Akamjibu, “Juzi mwanamke huyu alinishauri tumle mwanangu na kesho yake tumle wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akamuuliza, “Kwani kuna nini?” Yule mwanamke akamjibu, “Huyu mwanamke aliniambia, ‘Mtoe mwanao ili tupate kumla leo, na kesho tutamla mwanangu.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme akamwambia, Una nini? Akajibu, Mwanamke huyu aliniambia, Mtoe mtoto wako, tumle leo, na mtoto wangu tutamla kesho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shida yako ni nini?” Akamjibu, “Juzi mwanamke huyu alinishauri tumle mwanangu na kesho yake tumle wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akamwuliza, “Kwani kuna nini?” Yule mwanamke akamjibu, “Huyu mwanamke aliniambia, ‘Mtoe mwanao ili tupate kumla leo na kesho tutamla mwanangu.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akamuuliza, “Kwani kuna nini?” Yule mwanamke akamjibu, “Huyu mwanamke aliniambia, ‘Mtoe mwanao ili tupate kumla leo, na kesho tutamla mwanangu.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme akamwambia, Una nini? Akajibu, Mwanamke huyu aliniambia, Mtoe mtoto wako, tumle leo, na mtoto wangu tutamla kesho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shida yako ni nini?” Akamjibu, “Juzi mwanamke huyu alinishauri tumle mwanangu na kesho yake tumle wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mfalme akamwuliza: Shauri lako nini? Akasema: Huyu mwanamke mwenzangu aliniambia: Nipe mwanao, tumle leo! Kisha kesho tutamla wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme akamwambia, Una nini? Akajibu, Mwanamke huyu aliniambia, Mtoe mtoto wako, tumle leo, na mtoto wangu tutamla kesho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Shida yako ni nini?” Akamujibu: “Juzi mwanamuke huyu alinishauria tumukule mwana wangu na kesho yake tutamukula wake.