2 Kings 6:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tukampika mwanangu, tukamla. Kesho yake nikamwambia tumle mwanawe, lakini alikuwa amemficha!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi tukampika mwanangu na kumla. Siku iliyofuata nikamwambia, ‘Mtoe mwanao ili tupate kumla.’ Lakini akawa amemficha.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, tukamtokosa mtoto wangu, tukamla; nikamwambia siku ya pili, Mtoe mtoto wako, tumle; naye amemficha mtoto wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tukampika mwanangu, tukamla. Kesho yake nikamwambia tumle mwanawe, lakini alikuwa amemficha!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi tukampika mwanangu na kumla. Siku iliyofuata nikamwambia, ‘Mtoe mwanao ili tupate kumla.’ Lakini akawa amemficha.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi tukampika mwanangu na kumla. Siku iliyofuata nikamwambia, ‘Mtoe mwanao ili tupate kumla.’ Lakini akawa amemficha.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, tukamtokosa mtoto wangu, tukamla; nikamwambia siku ya pili, Mtoe mtoto wako, tumle; naye amemficha mtoto wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tukampika mwanangu, tukamla. Kesho yake nikamwambia tumle mwanawe, lakini alikuwa amemficha!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, tukampika mwanangu, tukamla. Tena kesho yake, nilipomwambia: Nipe mwanao, tumle! akamficha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, tukamtokosa mtoto wangu, tukamla; nikamwambia siku ya pili, Mtoe mtoto wako, tumle; naye amemficha mtoto wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tukamupika mwana wangu, tukamukula. Kesho yake nikamwambia tumukule mwana wake, lakini alikuwa amemuficha!”