2 Kings 6:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mmoja wao akamwomba akisema, “Tafadhali uwe radhi uende na watumishi wako.” Naye akajibu, “Nitakwenda.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha mmoja wao akasema, “Je, tafadhali, huwezi kufuatana na watumishi wako?” Al-Yasa akajibu, “Nitakuja.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mmoja wao akasema, Uwe radhi, basi nakusihi, uende pamoja na watumishi wako. Akajibu, Nitakwenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mmoja wao akamwomba akisema, “Tafadhali uwe radhi uende na watumishi wako.” Naye akajibu, “Nitakwenda.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha mmoja wao akasema, “Je, tafadhali, huwezi kufuatana na watumishi wako?” Elisha akajibu, “Nitakuja.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha mmoja wao akasema, “Je, tafadhali, huwezi kufuatana na watumishi wako?” Al-Yasa akajibu, “Nitakuja.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mmoja wao akasema, Uwe radhi, basi nakusihi, uende pamoja na watumishi wako. Akajibu, Nitakwenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mmoja wao akamwomba akisema, “Tafadhali uwe radhi uende na watumishi wako.” Naye akajibu, “Nitakwenda.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mmoja wao akasema: Ingefaa, wewe uende pamoja na watumishi wako. Akasema: Basi, nami nitakwenda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mmoja wao akasema, Uwe radhi, basi nakusihi, uende pamoja na watumishi wako. Akajibu, Nitakwenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumoja wao akamwomba akisema: “Tafazali ninakusihi uende pamoja na watumishi wako.” Naye akajibu: “Nitakwenda.”