2 Kings 6:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akasema, “Mungu aniue, Elisha mwana wa Shafati asipokatwa kichwa leo!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akasema, “Mungu na aniadhibu vikali zaidi ikiwa kichwa cha Al-Yasa mwana wa Shafati kitabaki juu ya mabega yake leo!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo akasema, Mungu anifanyie hivyo, na kuzidi, kikimbakia kichwa Elisha mwana wa Shafati juu yake leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akasema, “Mungu aniue, Elisha mwana wa Shafati asipokatwa kichwa leo!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akasema, “Mungu na anitendee hivyo na kuzidi, ikiwa kichwa cha Elisha mwana wa Shafati kitabaki juu ya mabega yake leo!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akasema, “Mungu na anitendee hivyo na kuzidi, ikiwa kichwa cha Al-Yasa mwana wa Shafati kitabaki juu ya mabega yake leo!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo akasema, Mungu anifanyie hivyo, na kuzidi, kikimbakia kichwa Elisha mwana wa Shafati juu yake leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akasema, “Mungu aniue, Elisha mwana wa Shafati asipokatwa kichwa leo!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akasema: Mungu anifanyizie hivi na hivi, Elisa, mwana wa Safati, akishinda leo mwenye kichwa chake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo akasema, Mungu anifanyie hivyo, na kuzidi, kikimbakia kichwa Elisha mwana wa Shafati juu yake leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye akasema: “Mungu aniue Elisha mwana wa Safati asipokatwa kichwa leo!”