2 Kings 6:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabla hata hajamaliza kusema, mfalme akafika, akasema, “Msiba huu umetoka kwa Mwenyezi-Mungu! Kwa nini niendelee kumngojea tena?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipokuwa angali bado anazungumza nao, mjumbe akamfikia. Naye mfalme akasema, “Maafa haya yanatoka kwa Mwenyezi Mungu. Kwa nini niendelee kumngoja Mwenyezi Mungu zaidi?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata alipokuwa katika kusema nao, tazama, yule aliyetumwa akamshukia; naye akasema, Angalia, mabaya haya yatoka kwa Bwana; kwani mimi kumngojea Bwana tena?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabla hata hajamaliza kusema, mfalme akafika, akasema, “Msiba huu umetoka kwa Mwenyezi-Mungu! Kwa nini niendelee kumngojea tena?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipokuwa angali bado anazungumza nao, mjumbe akamfikia akiwa amefuatana naye. Naye mfalme akasema, “Maafa haya yanatoka kwa BWANA. Kwa nini niendelee kumngoja BWANA zaidi?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipokuwa angali bado anazungumza nao, mjumbe akamfikia. Naye mfalme akasema, “Maafa haya yanatoka kwa bwana. Kwa nini niendelee kumngoja bwana zaidi?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata alipokuwa katika kusema nao, tazama, yule aliyetumwa akamshukia; naye akasema, Angalia, mabaya haya yatoka kwa BWANA; kwani mimi kumngojea BWANA tena?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabla hata hajamaliza kusema, mfalme akafika, akasema, “Msiba huu umetoka kwa Mwenyezi-Mungu! Kwa nini niendelee kumngojea tena?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Angali akisema nao, mara mjumbe yule akashuka kufika kwake, akasema: Tazameni, mabaya haya yametoka kwake Bwana! Iko nini tena, tutakayongojea, itoke kwake Bwana?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata alipokuwa katika kusema nao, tazama, yule aliyetumwa akamshukia; naye akasema, Angalia, mabaya haya yatoka kwa BWANA; kwani mimi kumngojea BWANA tena?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbele hata hajamaliza kusema, mufalme akafika, akasema: “Mabaya haya yametoka kwa Yawe! Nitangojea nini tena kutoka kwake?”