2 Kings 6:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo akaenda pamoja nao, na walipofika mtoni Yordani wakaanza kukata miti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye akaenda pamoja nao. Basi wakaenda Yordani, nao wakaanza kukata miti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, akaenda pamoja nao. Nao walipofika Yordani, wakakata miti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo akaenda pamoja nao, na walipofika mtoni Yordani wakaanza kukata miti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye akaenda pamoja nao. Basi wakaenda Jordani nao wakaanza kukata miti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye akaenda pamoja nao. Basi wakaenda Yordani, nao wakaanza kukata miti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, akaenda pamoja nao. Nao walipofika Yordani, wakakata miti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo akaenda pamoja nao, na walipofika mtoni Yordani wakaanza kukata miti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaenda nao; walipofika Yordani, wakakata miti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, akaenda pamoja nao. Nao walipofika Yordani, wakakata miti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo akaenda pamoja nao, na walipofika kwenye muto Yordani wakaanza kukata miti.