2 Kings 6:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mmoja wao alipokuwa anakata miti, shoka lake likachomoka na kuanguka majini; akalia, akisema, “Sasa bwana wangu nitafanya nini? Shoka hili tulikuwa tumeliazima!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mmoja wao alipokuwa anakata mti, shoka lilitumbukia kwenye maji. Akalia, “Ee bwana wangu, shoka lilikuwa la kuazima!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mmojawapo alipokuwa katika kukata boriti, chuma cha shoka kikaanguka majini; akalia, akasema, Ole wangu! Bwana wangu, kwani kiliazimiwa kile.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mmoja wao alipokuwa anakata miti, shoka lake likachomoka na kuanguka majini; akalia, akisema, “Sasa bwana wangu nitafanya nini? Shoka hili tulikuwa tumeliazima!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mmoja wao alipokuwa anakata mti, shoka lilitumbukia kwenye maji. Akapiga kelele akasema, “Ee bwana wangu, shoka lilikuwa la kuazima!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mmoja wao alipokuwa anakata mti, shoka lilitumbukia kwenye maji. Akalia, “Ee bwana wangu, shoka lilikuwa la kuazima!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mmojawapo alipokuwa katika kukata boriti, chuma cha shoka kikaanguka majini; akalia, akasema, Ole wangu! Bwana wangu, kwani kiliazimwa kile.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mmoja wao alipokuwa anakata miti, shoka lake likachomoka na kuanguka majini; akalia, akisema, “Sasa bwana wangu nitafanya nini? Shoka hili tulikuwa tumeliazima!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, mmoja alipokata nguzo yake, chuma cha shoka yake kikaanguka majini, akalia kwamba: E bwana wangu! Nacho kimekopwa kwa mtu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mmojawapo alipokuwa katika kukata boriti, chuma cha shoka kikaanguka majini; akalia, akasema, Ole wangu! Bwana wangu, kwani kiliazimiwa kile.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumoja wao alipokuwa anakata miti, shoka lake likachomoka na kuanguka ndani ya maji. Akalia, akisema: “Sasa bwana wangu nitafanya nini? Shoka hili tulikuwa tumeliazima!”