2 Kings 6:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elisha akamwamuru alichukue naye akanyosha mkono, akalichukua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akasema, “Lichukue.” Kisha yule mtu akanyoosha mkono wake, akalichukua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Kiokote. Basi akanyosha mkono, akakitwaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elisha akamwamuru alichukue naye akanyosha mkono, akalichukua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akasema, “Lichukue.” Kisha yule mtu akanyosha mkono wake akalichukua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akasema, “Lichukue.” Kisha yule mtu akanyoosha mkono wake, akalichukua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Kiokote. Basi akanyosha mkono, akakitwaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elisha akamwamuru alichukue naye akanyosha mkono, akalichukua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akamwambia: Kiokote! Naye akaunyosha mkono wake, akakikamata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Kiokote. Basi akanyosha mkono, akakitwaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elisha akamwamuru alikamate naye akanyoosha mukono, akalikamata.