2 Kings 6:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati mmoja kulikuwa na hali ya vita kati ya Aramu na Israeli. Basi, mfalme wa Aramu akashauriana na maofisa wake kuhusu mahali watakaposhambulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo mfalme wa Aramu alikuwa akipigana vita na Israeli. Baada ya kukubaliana na maafisa wake, akasema, “Nitapiga kambi yangu mahali fulani na fulani.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, mfalme wa Shamu alikuwa akifanya vita na Israeli. Akafanya mashauri na watumishi wake, akasema, Kituo changu kitakuwapo mahali fulani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati mmoja kulikuwa na hali ya vita kati ya Aramu na Israeli. Basi, mfalme wa Aramu akashauriana na maofisa wake kuhusu mahali watakaposhambulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo mfalme wa Aramu alikuwa akipigana vita na Israeli. Baada ya kukubaliana na maafisa wake, akasema, “Nitapiga kambi yangu mahali fulani na fulani.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo mfalme wa Aramu alikuwa akipigana vita na Israeli. Baada ya kukubaliana na maafisa wake, akasema, “Nitapiga kambi yangu mahali fulani na fulani.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, mfalme wa Shamu alikuwa akifanya vita na Israeli. Akafanya mashauri na watumishi wake, akasema, Kituo changu kitakuwapo mahali fulani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati mmoja kulikuwa na hali ya vita kati ya Aramu na Israeli. Basi, mfalme wa Aramu akashauriana na maofisa wake kuhusu mahali watakaposhambulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme wa Ushami akawa akiwapelekea Waisiraeli vita. Lakini kila alipopatana na watumishi wake kwamba: Nitapiga makambi yangu mahali fulani,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, mfalme wa Shamu alikuwa akifanya vita na Israeli. Akafanya mashauri na watumishi wake, akasema, Kituo changu kitakuwapo mahali fulani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati mumoja kulikuwa vita kati ya Aramu na Israeli. Basi, mufalme wa Aramu akafanya shauri na wakubwa wa waaskari wake juu ya pahali watakapopiga kambi.