2 Kings 7:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walinda malango wakaeneza habari hizi mpaka zikafika nyumbani kwa mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walinzi wa langoni wakatangaza habari ile kwa sauti kuu, na taarifa hii ikatolewa ndani ya jumba la mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mabawabu wakaita wakawaambia watu wa nyumba ya mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walinda malango wakaeneza habari hizi mpaka zikafika nyumbani kwa mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walinzi wa langoni wakatangaza habari ile kwa nguvu na taarifa hii ikatolewa ndani ya jumba la kifalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walinzi wa langoni wakatangaza habari ile kwa sauti kuu, na taarifa hii ikatolewa ndani ya jumba la mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mabawabu wakaita, wakawaambia watu wa nyumba ya mfalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walinda malango wakaeneza habari hizi mpaka zikafika nyumbani kwa mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, walivyowaitia wangoja lango la mji, nao wakapasha habari mjini nyumbani mwa mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mabawabu wakaita wakawaambia watu wa nyumba ya mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walinda milango wakaita mutu mumoja kupasha habari hii katika nyumba ya mufalme.