2 Kings 7:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakachagua watu na kuwapa magari mawili. Mfalme akawatuma kuwafuata Waaramu, akisema, “Nendeni mkaone.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo wakachagua magari mawili ya vita pamoja na farasi wake, naye mfalme akawatuma wafuatilie jeshi la Waaramu. Akawaamuru waendeshaji akisema, “Nendeni mkaone ni nini kilichotokea.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakatwaa magari mawili na farasi zake; mfalme akawatuma kuwafuata Washami, akasema, Enendeni, mkaangalie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakachagua watu na kuwapa magari mawili. Mfalme akawatuma kuwafuata Waaramu, akisema, “Nendeni mkaone.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo wakachagua magari mawili ya vita pamoja na farasi wake, naye mfalme akawatuma wafuatilie jeshi la Waaramu. Akawaamuru waendeshaji akisema, “Nendeni mkaone ni nini kilichotokea.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo wakachagua magari mawili ya vita pamoja na farasi wake, naye mfalme akawatuma wafuatilie jeshi la Waaramu. Akawaamuru waendeshaji akisema, “Nendeni mkaone ni nini kilichotokea.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakatwaa magari mawili na farasi wake; mfalme akawatuma kuwafuata Washami, akasema, Nendeni, mkaangalie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakachagua watu na kuwapa magari mawili. Mfalme akawatuma kuwafuata Waaramu, akisema, “Nendeni mkaone.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakachukua magari mawili yenye farasi, ndiyo, mfalme aliyoyatuma kuwafuata Washami waliotoka makambini, akawaambia: Nendeni, mwatazame!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakatwaa magari mawili na farasi zake; mfalme akawatuma kuwafuata Washami, akasema, Enendeni, mkaangalie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakachagua watu na kuwapa magari mawili. Mufalme akawatuma kuwafuata Waaramu, akisema: “Mwende muwaone.”