2 Kings 7:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na hivyo ndivyo ilivyotokea — kapteni akafa kwa kukanyagwa na watu kwenye lango la mji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndivyo hasa ilivyotokea kwake, kwa kuwa watu walimkanyaga langoni, naye akafa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikampata vivyo hivyo, kwa kuwa watu wakamkanyaga langoni, akafa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na hivyo ndivyo ilivyotokea — kapteni akafa kwa kukanyagwa na watu kwenye lango la mji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndivyo hasa ilivyotokea kwake, kwa kuwa watu walimkanyaga langoni, naye akafa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndivyo hasa ilivyotokea kwake, kwa kuwa watu walimkanyaga langoni, naye akafa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikampata vivyo hivyo, kwa kuwa watu walimkanyaga langoni, akafa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na hivyo ndivyo ilivyotokea – kapteni akafa kwa kukanyagwa na watu kwenye lango la mji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndiyo yaliyotimia hapo, watu walipomkanyaga penye lango la mji, mpaka akifa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikampata vivyo hivyo, kwa kuwa watu wakamkanyaga langoni, akafa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na hivi ndivyo ilivyotokea: alikanyagwa na watu palepale kwenye mulango, akakufa.