2 Kings 8:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elisha alikuwa amemwambia mwanamke aliyeishi Shunemu ambaye alikuwa amemfufua mwanawe, “Ondoka, na jamaa yako, uhamie ugenini kwa sababu Mwenyezi-Mungu ameleta njaa itakayokuwamo nchini kwa muda wa miaka saba.” Akamshauri ahame aende mahali pengine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Al-Yasa alikuwa amemwambia yule mwanamke ambaye mwanawe alikuwa amefufuliwa, “Ondoka wewe na jamaa yako ukaishi mahali popote unapoweza kwa kitambo kidogo, kwa sababu Mwenyezi Mungu ameamuru njaa katika nchi hii ambayo itadumu kwa miaka saba.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Elisha alikuwa amemwambia yule mwanamke, ambaye alimfufulia mwanawe, akasema, Ondoka, ukaende wewe na jamaa yako, ukae hali ya kigeni utakakoweza kukaa; kwa sababu Bwana ameiita njaa; nayo itakuja juu ya nchi hii muda wa miaka saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elisha alikuwa amemwambia mwanamke aliyeishi Shunemu ambaye alikuwa amemfufua mwanawe, “Ondoka, na jamaa yako, uhamie ugenini kwa sababu Mwenyezi-Mungu ameleta njaa itakayokuwamo nchini kwa muda wa miaka saba.” Akamshauri ahame aende mahali pengine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huu, Elisha alikuwa amemwambia yule mwanamke ambaye mwanawe alikuwa amefufuliwa, “Ondoka wewe na jamaa yako ukaishi mahali po pote unapoweza kwa kitambo kidogo, kwa sababu BWANA ameamuru njaa katika nchi hii ambayo itadumu kwa miaka saba.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huu, Al-Yasa alikuwa amemwambia yule mwanamke ambaye mwanawe alikuwa amefufuliwa, “Ondoka wewe na jamaa yako ukaishi mahali popote unapoweza kwa kitambo kidogo, kwa sababu bwana ameamuru njaa katika nchi hii ambayo itadumu kwa miaka saba.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Elisha alikuwa amemwambia yule mwanamke, ambaye alimfufulia mwanawe, akasema, Ondoka, ukaende wewe na jamaa yako, ukae hali ya kigeni utakakoweza kukaa; kwa sababu BWANA ameiita njaa; nayo itakuja juu ya nchi hii muda wa miaka saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elisha alikuwa amemwambia mwanamke aliyeishi Shunemu ambaye alikuwa amemfufua mwanawe, “Ondoka, na jamaa yako, uhamie ugenini kwa sababu Mwenyezi-Mungu ameleta njaa itakayokuwamo nchini kwa muda wa miaka saba.” Akamshauri ahame aende mahali pengine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Elisa alikuwa amesema na yule mwanamke, aliyemfufulia mwanawe, akamwambia: Ondoka, uende wewe na mlango wako, ukae ugenini kutakakokufalia kukaa ugenini! Kwani Bwana ameita njaa, ije kuiingia hata nchi hii miaka saba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Elisha alikuwa amemwambia yule mwanamke, ambaye alimfufulia mwanawe, akasema, Ondoka, ukaende wewe na jamaa yako, ukae hali ya kigeni utakakoweza kukaa; kwa sababu BWANA ameiita njaa; nayo itakuja juu ya nchi hii muda wa miaka saba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elisha alikuwa amemwambia mwanamuke aliyeishi Sunemu ambaye alikuwa amemufufua mwana wake: “Ondoka na jamaa yako, uhamie katika inchi ya kigeni kwa sababu Yawe ameleta njaa itakayokuwa katika inchi kwa muda wa miaka saba.”