2 Kings 8:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi Elisha akamjibu, “Atapona; lakini Mwenyezi-Mungu amenionesha kwamba atakufa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Al-Yasa akajibu, “Nenda ukamwambie, ‘Hakika utapona’; lakini Mwenyezi Mungu amenifunulia kwamba kweli atakufa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Elisha akamwambia, Enenda, ukamwambie, Bila shaka utapona; lakini Bwana amenionyesha ya kwamba bila shaka atakufa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi Elisha akamjibu, “Atapona; lakini Mwenyezi-Mungu amenionesha kwamba atakufa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Elisha akajibu, “Nenda ukamwambie, ‘Hakika utapona’; lakini BWANA amenifunulia kwamba kweli atakufa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Al-Yasa akajibu, “Nenda ukamwambie, ‘Hakika utapona’; lakini bwana amenifunulia kwamba kweli atakufa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Elisha akamwambia, Nenda, ukamwambie, Bila shaka utapona; lakini BWANA amenionesha ya kwamba bila shaka atakufa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi Elisha akamjibu, “Atapona; lakini Mwenyezi-Mungu amenionesha kwamba atakufa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Elisa akamjibu: Nenda kumwambia: Kupona utapona; lakini Bwana amenionyesha, ya kuwa atakufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Elisha akamwambia, Enenda, ukamwambie, Bila shaka utapona; lakini BWANA amenionyesha ya kwamba bila shaka atakufa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Elisha akamujibu: “Umwambie kwamba atapona. Lakini Yawe amenionyesha kwamba atakufa.”