2 Kings 8:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Elisha akamkazia macho akiwa na hofu hata Hazaeli akashikwa na wasiwasi. Ghafla, Elisha mtu wa Mungu, akaanza kulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Al-Yasa akamkazia Hazaeli macho kwa nguvu hata akaona aibu. Kisha mtu wa Mungu akaanza kulia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamkazia macho hata akatahayari; na yule mtu wa Mungu akalia machozi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Elisha akamkazia macho akiwa na hofu hata Hazaeli akashikwa na wasiwasi. Ghafla, Elisha mtu wa Mungu, akaanza kulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Elisha akamkazia Hazaeli macho kwa nguvu mpaka akaona aibu. Kisha mtu wa Mungu akaanza kulia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Al-Yasa akamkazia Hazaeli macho kwa nguvu mpaka akaona aibu. Kisha mtu wa Mungu akaanza kulia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamkazia macho hata akatahayari; na yule mtu wa Mungu akalia machozi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Elisha akamkazia macho akiwa na hofu hata Hazaeli akashikwa na wasiwasi. Ghafla, Elisha mtu wa Mungu, akaanza kulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha yule mtu wa Mungu akamng'arizia macho na kulia machozi, hata mwenyewe akiona soni kwa kufanya hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamkazia macho hata akatahayari; na yule mtu wa Mungu akalia machozi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Elisha akamukazia macho hata Hazaeli akashikwa na wasiwasi. Kwa rafla, Elisha mutu wa Mungu akaanza kulia.