2 Kings 8:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hazaeli akauliza, “Lakini mimi mtumishi wako ni kitu kweli? Mimi niliye mbwa tu nitawezaje kutenda mambo hayo makubwa?” Elisha akamjibu, “Mwenyezi-Mungu amenionesha kwamba utakuwa mfalme wa Aramu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hazaeli akasema, “Itawezekanaje mtumishi wako, aliye mbwa tu, kufanya tendo la ajabu hivyo?” Al-Yasa akamjibu, “Mwenyezi Mungu amenionesha kuwa utakuwa mfalme wa Aramu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hazaeli akasema, Lakini mimi mtumwa wako ni nani, mimi niliye mbwa tu, hata nifanye jambo hili kubwa? Elisha akajibu, Bwana amenionyesha ya kwamba wewe utakuwa mfalme juu ya Shamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hazaeli akauliza, “Lakini mimi mtumishi wako ni kitu kweli? Mimi niliye mbwa tu nitawezaje kutenda mambo hayo makubwa?” Elisha akamjibu, “Mwenyezi-Mungu amenionesha kwamba utakuwa mfalme wa Aramu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hazaeli akasema, “Itawezekanaje mtumishi wako, aliye mbwa tu, kufanya tendo la ajabu namna hiyo?” Elisha akamjibu, “BWANA amenionyesha kuwa utakuwa mfalme wa Aramu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hazaeli akasema, “Itawezekanaje mtumishi wako, aliye mbwa tu, kufanya tendo la ajabu namna hiyo?” Al-Yasa akamjibu, “ bwana amenionyesha kuwa utakuwa mfalme wa Aramu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hazaeli akasema, Lakini mimi mtumwa wako ni nani, mimi niliye mbwa tu, hata nifanye jambo hili kubwa? Elisha akajibu, BWANA amenionesha ya kwamba wewe utakuwa mfalme juu ya Shamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hazaeli akauliza, “Lakini mimi mtumishi wako ni kitu kweli? Mimi niliye mbwa tu nitawezaje kutenda mambo hayo makubwa?” Elisha akamjibu, “Mwenyezi-Mungu amenionesha kwamba utakuwa mfalme wa Aramu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hazaeli akasema: Mtumwa wako, huyu mbwa, ni mtu gani, aweze kufanya mambo makuu kama hayo? Elisa akasema: Bwana amenionyesha, ya kuwa wewe utakuwa mfalme wa Ushami.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hazaeli akasema, Lakini mimi mtumwa wako ni nani, mimi niliye mbwa tu, hata nifanye jambo hili kubwa? Elisha akajibu, BWANA amenionyesha ya kwamba wewe utakuwa mfalme juu ya Shamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hazaeli akauliza: “Lakini mimi mutumishi wako ni kitu kweli? Mimi ninayekuwa sawa na imbwa nitaweza namna gani kutenda mambo hayo makubwa?” Elisha akamujibu: “Yawe amenionyesha kwamba utakuwa mufalme wa Aramu.”