2 Kings 8:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Hazaeli alipotoka kwa Elisha, akarudi kwa bwana wake. Mfalme Ben-hadadi akamwuliza, “Elisha alikuambia nini?” Hazaeli akamjibu, “Aliniambia ya kwamba hakika utapona.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Hazaeli akamwacha Al-Yasa na kumrudia bwana wake. Ben-Hadadi akamuuliza, “Al-Yasa alikuambia nini?” Hazaeli akajibu, “Aliniambia kwamba hakika utapona.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo akamwacha Elisha, akarudi kwa bwana wake; naye akamwambia, Elisha alikuambiaje? Akajibu, Aliniambia ya kuwa bila shaka utapona.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Hazaeli alipotoka kwa Elisha, akarudi kwa bwana wake. Mfalme Ben-hadadi akamwuliza, “Elisha alikuambia nini?” Hazaeli akamjibu, “Aliniambia ya kwamba hakika utapona.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Hazaeli akamwacha Elisha na kumrudia bwana wake. Ben-Hadadi akamwuliza, “Elisha alikuambia nini?” Hazaeli akajibu, “Aliniambia kwamba hakika utapona.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Hazaeli akamwacha Al-Yasa na kumrudia bwana wake. Ben-Hadadi akamuuliza, “Al-Yasa alikuambia nini?” Hazaeli akajibu, “Aliniambia kwamba hakika utapona.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo akamwacha Elisha, akarudi kwa bwana wake; naye akamwambia, Elisha alikuambiaje? Akajibu, Aliniambia ya kuwa bila shaka utapona.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Hazaeli alipotoka kwa Elisha, akarudi kwa bwana wake. Mfalme Ben-hadadi akamwuliza, “Elisha alikuambia nini?” Hazaeli akamjibu, “Aliniambia ya kwamba hakika utapona.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akatoka kwake Elisa, akaja kwa bwana wake, naye akamwuliza: Elisa amekuambia nini? Akajibu: Ameniambia, ya kuwa utapona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo akamwacha Elisha, akarudi kwa bwana wake; naye akamwambia, Elisha alikuambiaje? Akajibu, Aliniambia ya kuwa bila shaka utapona.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Hazaeli alitoka kwa Elisha, akarudi kwa bwana wake. Mufalme Beni-Hadadi akamwuliza: “Elisha alikuambia nini?” Hazaeli akamujibu: “Aliniambia kwamba hakika utapona.”