2 Kings 8:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
lakini Mwenyezi-Mungu hakutaka kuangamiza Yuda, kwa sababu ya Daudi mtumishi wake, kwani aliahidi kwamba wazawa wake wataendelea kutawala milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo, kwa ajili ya Daudi mtumishi wake, Mwenyezi Mungu hakutaka kuiangamiza Yuda. Alikuwa ameahidi kuidumisha taa kwa ajili ya Daudi na wazao wake milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walakini Bwana hakupenda kuiharibu Yuda, kwa ajili ya Daudi mtumishi wake, kama alivyomwahidia akasema, kuwa atampa taa, yeye na wazao wake siku zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
lakini Mwenyezi-Mungu hakutaka kuangamiza Yuda, kwa sababu ya Daudi mtumishi wake, kwani aliahidi kwamba wazawa wake wataendelea kutawala milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo, kwa ajili ya Daudi mtumishi wake, BWANA hakutaka kuiangamiza Yuda. Alikuwa ameahidi kuidumisha taa kwa ajili ya Daudi na uzao wake milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo, kwa ajili ya Daudi mtumishi wake, bwana hakutaka kuiangamiza Yuda. Alikuwa ameahidi kuidumisha taa kwa ajili ya Daudi na wazao wake milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walakini BWANA hakupenda kuiharibu Yuda, kwa ajili ya Daudi mtumishi wake, kama alivyomwahidia akasema, kuwa atampa taa, yeye na wazao wake siku zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
lakini Mwenyezi-Mungu hakutaka kuangamiza Yuda, kwa sababu ya Daudi mtumishi wake, kwani aliahidi kwamba wazawa wake wataendelea kutawala milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Bwana hakutaka kuwaangamiza Wayuda kwa ajili ya mtumishi wake Dawidi, kwa kuwa alimwambia, ya kama atampa yeye na wanawe kuwa taa iwakayo siku zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walakini BWANA hakupenda kuiharibu Yuda, kwa ajili ya Daudi mtumishi wake, kama alivyomwahidia akasema, kuwa atampa taa, yeye na wazao wake siku zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yawe hakutaka kuangamiza Yuda, kwa sababu ya Daudi mutumishi wake, maana aliahidi kwamba wazao wake wataendelea kutawala milele.