2 Kings 8:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati wa enzi ya Yehoramu, watu wa Edomu waliasi utawala wa Yuda, wakamtawaza mfalme wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati wa utawala wa Yehoramu, Edomu waliasi dhidi ya Yuda na kujiwekea mfalme wao wenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Zamani zake, Edomu wakaasi mkononi mwa Yuda, wakajifanyia mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati wa enzi ya Yehoramu, watu wa Edomu waliasi utawala wa Yuda, wakamtawaza mfalme wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati wa Yehoramu, Edomu waliasi dhidi ya Yuda na kuweka mfalme wao wenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati wa Yehoramu, Edomu waliasi dhidi ya Yuda na kujiwekea mfalme wao wenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Zamani zake, Edomu wakaasi mkononi mwa Yuda, wakajifanyia mfalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati wa enzi ya Yehoramu, watu wa Edomu waliasi utawala wa Yuda, wakamtawaza mfalme wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika hizo siku zake Waedomu wakalivunja agano wakijitoa mikononi mwa Wayuda, wakajiwekea mfalme wa kuwatawala.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Zamani zake, Edomu wakaasi mkononi mwa Yuda, wakajifanyia mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati wa utawala wa Yehoramu, watu wa Edomu waliasi utawala wa Yuda, wakatawalisha mufalme wao.