2 Kings 8:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo watu wa Edomu wakauasi utawala wa Yuda mpaka sasa. Wakati huohuo, wakazi wa Libna nao wakaasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hadi leo Edomu wameasi dhidi ya Yuda. Libna pia wakaasi wakati huo huo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo Edomu wakaasi mkononi mwa Yuda hata leo. Na Libna wakaasi zamani zizo hizo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo watu wa Edomu wakauasi utawala wa Yuda mpaka sasa. Wakati huohuo, wakazi wa Libna nao wakaasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpaka leo Edomu wamekuwa waasi dhidi ya Yuda. Libna pia wakaasi wakati huo huo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hadi leo Edomu wameasi dhidi ya Yuda. Libna pia wakaasi wakati huo huo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo Edomu wakaasi mkononi mwa Yuda hata leo. Na Libna nao wakaasi zamani hizo hizo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo watu wa Edomu wakauasi utawala wa Yuda mpaka sasa. Wakati huohuo, wakazi wa Libna nao wakaasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Waedomu wakalivunja agano tena, wakajitoa mikononi mwa Wayuda mpaka siku hii ya leo. Kisha nao wa Libuna wakalivunja agano siku zilezile.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo Edomu wakaasi mkononi mwa Yuda hata leo. Na Libna wakaasi zamani zizo hizo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo watu wa Edomu wakauasi utawala wa Yuda mpaka sasa. Wakati uleule, wakaaji wa Libuna nao wakaasi.