2 Kings 8:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa sababu Ahazia alikuwa mkwe wa jamaa ya Ahabu, naye alifuata mwenendo wa jamaa hiyo ya Ahabu, alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama vile jamaa ya Ahabu walivyofanya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaenenda katika njia za nyumba ya Ahabu, na kutenda maovu machoni pa Mwenyezi Mungu, kama nyumba ya Ahabu ilivyokuwa imefanya, kwa kuwa alikuwa ameoa kutoka nyumba ya Ahabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaiendea njia ya nyumba ya Ahabu, akafanya yaliyo mabaya machoni pa Bwana, kama walivyofanya nyumba ya Ahabu, kwa kuwa alikuwa mkwe wa jamaa ya Ahabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa sababu Ahazia alikuwa mkwe wa jamaa ya Ahabu, naye alifuata mwenendo wa jamaa hiyo ya Ahabu, alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama vile jamaa ya Ahabu walivyofanya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaziendea njia za nyumba ya Ahabu na kutenda maovu machoni pa BWANA, kama nyumba ya Ahabu ilivyokuwa imefanya, kwa kuwa alikuwa ameoa kutoka nyumba ya Ahabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaenenda katika njia za nyumba ya Ahabu, na kutenda maovu machoni pa bwana, kama nyumba ya Ahabu ilivyokuwa imefanya, kwa kuwa alikuwa ameoa kutoka nyumba ya Ahabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaiendea njia ya nyumba ya Ahabu, akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, kama walivyofanya nyumba ya Ahabu, kwa kuwa alikuwa mkwe wa jamaa ya Ahabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa sababu Ahazia alikuwa mkwe wa jamaa ya Ahabu, naye alifuata mwenendo wa jamaa hiyo ya Ahabu, alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama vile jamaa ya Ahabu walivyofanya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akaendelea katika njia ya mlango wa Ahabu, akayafanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana kama mlango wa Ahabu. Kwani yeye alikuwa mkwe wao wa mlango wa Ahabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaiendea njia ya nyumba ya Ahabu, akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, kama walivyofanya nyumba ya Ahabu, kwa kuwa alikuwa mkwe wa jamaa ya Ahabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu Ahazia alikuwa mukwe wa jamaa ya Ahabu, naye alifuata mwenendo wa jamaa hiyo ya Ahabu, alitenda maovu mbele ya Yawe, kama vile jamaa ya Ahabu walivyofanya.