2 Kings 8:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akamkuta mfalme anaongea na Gehazi, akisema, “Tafadhali nieleze miujiza ambayo hutendwa na Elisha.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme alikuwa anazungumza na Gehazi, mtumishi wa mtu wa Mungu, naye alikuwa amesema, “Hebu niambie mambo yote makuu yaliyofanywa na Al-Yasa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mfalme alikuwa akizungumza na Gehazi, mtumishi wa mtu wa Mungu, akinena, Uniambie, nakusihi, mambo makuu yote aliyoyafanya Elisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akamkuta mfalme anaongea na Gehazi, akisema, “Tafadhali nieleze miujiza ambayo hutendwa na Elisha.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme alikuwa anazungumza na Gehazi, mtumishi wa mtu wa Mungu, naye alikuwa amesema, “Hebu niambie mambo yote makuu yaliyofanywa na Elisha.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme alikuwa anazungumza na Gehazi, mtumishi wa mtu wa Mungu, naye alikuwa amesema, “Hebu niambie mambo yote makuu yaliyofanywa na Al-Yasa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mfalme alikuwa akizungumza na Gehazi, mtumishi wa mtu wa Mungu, akinena, Uniambie, nakusihi, mambo makuu yote aliyoyafanya Elisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akamkuta mfalme anaongea na Gehazi, akisema, “Tafadhali nieleze miujiza ambayo hutendwa na Elisha.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo mfalme alikuwa akisema na Gehazi aliyekuwa naye yule mtu wa Mungu kwamba: Nisimulie matendo makubwa yote, Elisa aliyoyafanya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mfalme alikuwa akizungumza na Gehazi, mtumishi wa mtu wa Mungu, akinena, Uniambie, nakusihi, mambo makuu yote aliyoyafanya Elisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akamukuta mufalme akiongea na Gehazi, akisema: “Tafazali, uniambie miujiza ambayo inatendwa na Elisha.”