2 Kings 9:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yezebeli hatazikwa na mtu, maiti yake italiwa na mbwa katika nchi ya Yezreeli.’” Baada ya kusema hayo, nabii akaondoka chumbani na kukimbia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhusu Yezebeli, mbwa watamla kwenye kiwanja huko Yezreeli, wala hakuna mtu atakayemzika.’ ” Kisha akafungua mlango na kukimbia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mbwa watamla Yezebeli katika kiwanja cha Yezreeli, wala hapatakuwa na mtu wa kumzika. Akaufungua mlango, akakimbia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yezebeli hatazikwa na mtu, maiti yake italiwa na mbwa katika nchi ya Yezreeli.’” Baada ya kusema hayo, nabii akaondoka chumbani na kukimbia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhusu Yezebeli, mbwa watamla kwenye kiwanja huko Yezreeli na hakuna mtu atakayemzika.’ ” Kisha akafungua mlango na kukimbia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhusu Yezebeli, mbwa watamla kwenye kiwanja huko Yezreeli, wala hakuna mtu atakayemzika.’ ” Kisha akafungua mlango na kukimbia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mbwa watamla Yezebeli katika kiwanja cha Yezreeli, wala hapatakuwa na mtu wa kumzika. Akaufungua mlango, akakimbia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yezebeli hatazikwa na mtu, maiti yake italiwa na mbwa katika nchi ya Yezreeli.’” Baada ya kusema hayo, nabii akaondoka chumbani na kukimbia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Izebeli mbwa watamla shambani kwa Izireeli, pasiwepo atakayemzika. Kisha akafungua mlango, akakimbia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mbwa watamla Yezebeli katika kiwanja cha Yezreeli, wala hapatakuwa na mtu wa kumzika. Akaufungua mlango, akakimbia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yezebeli hatazikwa na mutu. Maiti yake itakuliwa na imbwa katika inchi ya Yezereheli.’ ” Kisha kusema hayo, nabii akaondoka ndani ya chumba na kukimbia.