2 Kings 9:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao wakamwambia, “Hiyo si kweli! Tuambie alilosema!” Akawaambia, “Aliniambia kwamba Mwenyezi-Mungu amesema, ‘Nimekutawaza kuwa mfalme wa Israeli.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakasema, “Hiyo siyo kweli! Tuambie.” Yehu akasema, “Haya ndio aliyoniambia: ‘Hivi ndivyo asemavyo Mwenyezi Mungu: Ninakupaka mafuta uwe mfalme juu ya Israeli.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasema, Ni uongo; haya, tuambie. Akasema, Aliniambia haya na haya, akisema, Bwana asema hivi, Nimekutia mafuta, uwe mfalme juu ya Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao wakamwambia, “Hiyo si kweli! Tuambie alilosema!” Akawaambia, “Aliniambia kwamba Mwenyezi-Mungu amesema, ‘Nimekutawaza kuwa mfalme wa Israeli.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakasema, “Hiyo siyo kweli! Tuambie.” Yehu akasema, “Haya ndiyo aliyoniambia: ‘Hivi ndivyo asemavyo BWANA: Ninakutia mafuta uwe mfalme juu ya Israeli.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakasema, “Hiyo siyo kweli! Tuambie.” Yehu akasema, “Haya ndiyo aliyoniambia: ‘Hivi ndivyo asemavyo bwana: Ninakutia mafuta uwe mfalme juu ya Israeli.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasema, Ni uongo; haya, tuambie. Akasema, Aliniambia haya na haya, akisema, BWANA asema hivi, Nimekutia mafuta, uwe mfalme juu ya Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao wakamwambia, “Hiyo si kweli! Tuambie alilosema!” Akawaambia, “Aliniambia kwamba Mwenyezi-Mungu amesema, ‘Nimekutawaza kuwa mfalme wa Israeli.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamwambia: Uwongo huu! Tupashe habari zake! Ndipo, aliposema: Amesema hivi na hivi, akaniambia kwamba: Hivi ndivyo, anavyosema Bwana: Nimekupaka mafuta, uwe mfalme wa Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasema, Ni uongo; haya, tuambie. Akasema, Aliniambia haya na haya, akisema, BWANA asema hivi, Nimekutia mafuta, uwe mfalme juu ya Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wakamwambia: “Hiyo si kweli! Utuambie alilosema!” Akawaambia: “Aliniambia kwamba ‘Yawe anasema hivi: Ninakupakaa mafuta ukuwe mufalme wa Israeli.’ ”