2 Kings 9:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo akapanda gari lake na kuelekea Yezreeli. Yoramu alikuwa bado hajapona, na Ahazia mfalme wa Yuda alikuwa amemtembelea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Yehu akaingia katika gari lake la vita na kuendesha kwenda Yezreeli, kwa sababu Yoramu alikuwa amepumzika huko, na Ahazia mfalme wa Yuda alikuwa ameenda kumwona.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yehu akapanda gari lake kwenda Yezreeli; kwa maana Yoramu alikuwa amelala huko; na Ahazia mfalme wa Yuda alikuwa ameshuka ili kumtazama Yoramu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo akapanda gari lake na kuelekea Yezreeli. Yoramu alikuwa bado hajapona, na Ahazia mfalme wa Yuda alikuwa amemtembelea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo akaingia katika gari lake la vita na kuendesha kwenda Yezreeli, kwa sababu Yoramu alikuwa amepumzika huko na Ahazia mfalme wa Yuda alikuwa ameshuka ili kumwona.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Yehu akaingia katika gari lake la vita na kuendesha kwenda Yezreeli, kwa sababu Yoramu alikuwa amepumzika huko, na Ahazia mfalme wa Yuda alikuwa ameenda kumwona.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yehu akapanda gari lake kwenda Yezreeli; kwa maana Yoramu alikuwa amelala huko; na Ahazia mfalme wa Yuda alikuwa ameshuka ili kumtazama Yoramu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo akapanda gari lake na kuelekea Yezreeli. Yoramu alikuwa bado hajapona, na Ahazia mfalme wa Yuda alikuwa amemtembelea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yehu akalipanda gari lake kwenda Izireeli, kwani ndiko, Yoramu alikougulia, naye Ahazia, mfalme wa Wayuda, alikuwa ameshuka kumtazama Yoramu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yehu akapanda gari lake kwenda Yezreeli; kwa maana Yoramu alikuwa amelala huko; na Ahazia mfalme wa Yuda alikuwa ameshuka ili kumtazama Yoramu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu akapanda ndani ya gari lake na kuelekea Yezereheli. Yoramu alikuwa bado hajapona, na Ahazia mufalme wa Yuda alikuwa amemutembelea.