2 Kings 9:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na utakapofika huko, mtafute Yehu mwana wa Yehoshafati na mjukuu wa Nimshi. Mchukue kando chumbani mbali na wenzake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukifika huko, mtafute Yehu mwana wa Yehoshafati, mwana wa Nimshi. Nenda kwake, umtenge na wenzake, na umpeleke katika chumba cha ndani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utakapofika huko, mtafute Yehu, mwana wa Yehoshafati, mwana wa Nimshi, ukaingie, ukamtoe miongoni mwa ndugu zake, ukamchukue katika chumba cha ndani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na utakapofika huko, mtafute Yehu mwana wa Yehoshafati na mjukuu wa Nimshi. Mchukue kando chumbani mbali na wenzake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ukifika huko, mtafute Yehu mwana wa Yehoshafati, mwana wa Nimshi. Mwendee, mtenge mbali na wenzake na umpeleke katika chumba cha ndani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ukifika huko, mtafute Yehu mwana wa Yehoshafati, mwana wa Nimshi. Enda kwake, umtenge na wenzake, na umpeleke katika chumba cha ndani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utakapofika huko, mtafute Yehu, mwana wa Yehoshafati, mwana wa Nimshi, ukaingie, ukamtoe miongoni mwa ndugu zake, ukamchukue katika chumba cha ndani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na utakapofika huko, mtafute Yehu mwana wa Yehoshafati na mjukuu wa Nimshi. Mchukue kando chumbani mbali na wenzake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapofika huko, umtazame huko Yehu, mwana wa Yosafati, mwana wa Nimusi, kisha ingia mwake, umwondoe kwenye ndugu zake na kumwingiza katika chumba cha ndani!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utakapofika huko, mtafute Yehu, mwana wa Yehoshafati, mwana wa Nimshi, ukaingie, ukamtoe miongoni mwa ndugu zake, ukamchukue katika chumba cha ndani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utakapofika kule, umutafute Yehu mwana wa Yosafati, mujukuu wa Nimusi. Umupeleke pembeni ndani ya chumba mbali na wenzake,