2 Kings 9:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa mara nyingine tena mlinzi akasema “Mjumbe amewafikia lakini harudi.” Halafu akaongeza, “Uendeshaji wa gari ni kama wa Yehu mwana wa Nimshi; kwa sababu yeye huendesha kwa kasi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule mlinzi akatoa taarifa akasema, “Mjumbe amewafikia, lakini hata yeye harudi. Uendeshaji ule ni kama wa Yehu mwana wa Nimshi, anaendesha kama mwenye wazimu!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yule mlinzi akatoa habari, akasema, Amewafikilia wala harudi tena; na mwendo huu ni kama mwendo wa Yehu mwana wa Nimshi; maana analiendesha gari kwa kasi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa mara nyingine tena mlinzi akasema “Mjumbe amewafikia lakini harudi.” Halafu akaongeza, “Uendeshaji wa gari ni kama wa Yehu mwana wa Nimshi; kwa sababu yeye huendesha kwa kasi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule mlinzi akatoa taarifa akasema, “Mjumbe amewafikia lakini hata yeye harudi. Uendeshaji ule ni kama wa Yehu mwana wa Nimshi, anaendesha kama mwenye wazimu!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule mlinzi akatoa taarifa akasema, “Mjumbe amewafikia, lakini hata yeye harudi. Uendeshaji ule ni kama wa Yehu mwana wa Nimshi, anaendesha kama mwenye wazimu!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yule mlinzi akatoa habari, akasema, Amewafikia wala harudi tena; na mwendo huu ni kama mwendo wa Yehu mwana wa Nimshi; maana analiendesha gari kwa kasi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa mara nyingine tena mlinzi akasema “Mjumbe amewafikia lakini harudi.” Halafu akaongeza, “Uendeshaji wa gari ni kama wa Yehu mwana wa Nimshi; kwa sababu yeye huendesha kwa kasi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mlinzi akapasha habari tena kwamba: Amefika kwao, lakini hakurudi. Lakini ile namna ya kuendesha gari ni kama ya Yehu, mwana wa Nimusi, kwani analiendesha gari lake kama mwenye wazimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yule mlinzi akatoa habari, akasema, Amewafikilia wala harudi tena; na mwendo huu ni kama mwendo wa Yehu mwana wa Nimshi; maana analiendesha gari kwa kasi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mara ingine tena mulinzi akasema: “Mujumbe amewafikia lakini harudi.” Halafu akaongeza: “Uendeshaji wa gari ni kama wa Yehu mwana wa Nimusi, kwa sababu yeye anaendesha mbiombio.”