2 Kings 9:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoramu aligeuza gari lake na kuondoka, huku akimwambia Ahazia, “Huu ni uhaini Ahazia!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoramu akageuka nyuma na kukimbia, akimwambia Ahazia, “Huu ni uhaini, Ahazia!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yoramu akageuza mikono yake, akakimbia, akamwambia Ahazia, Ni uhaini, Ahazia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoramu aligeuza gari lake na kuondoka, huku akimwambia Ahazia, “Huu ni uhaini Ahazia!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoramu akageuka nyuma na kukimbia, akimwambia Ahazia, “Huu ni uhaini, Ahazia!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoramu akageuka nyuma na kukimbia, akimwambia Ahazia, “Huu ni uhaini, Ahazia!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yoramu akageuza mikono yake, akakimbia, akamwambia Ahazia, Ni uhaini, Ahazia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoramu aligeuza gari lake na kuondoka, huku akimwambia Ahazia, “Huu ni uhaini Ahazia!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yoramu alipoligeuza gari kwa mikono yake, akakimbia na kumwambia Ahazia: Tumedanganyika, Ahazia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yoramu akageuza mikono yake, akakimbia, akamwambia Ahazia, Ni uhaini, Ahazia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoramu aligeuza gari lake na kuondoka, naye akimwambia Ahazia: “Ahazia, huu ni uasi!”