2 Kings 9:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yehu akatwaa upinde wake na kutupa mshale ambao ulipenya mabega ya Yoramu na kuchoma moyo wake, naye akafa papo hapo garini mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Yehu akatwaa upinde wake na kumchoma Yoramu katikati ya mabega. Mshale ukapenya kwenye moyo wake, naye akaanguka ghafula ndani ya gari lake la vita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yehu akavuta upinde wake kwa nguvu zake zote, akampiga Yoramu kati ya mikono yake, hata mshale ukamtoka penye moyo wake, akaanguka katika gari lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yehu akatwaa upinde wake na kutupa mshale ambao ulipenya mabega ya Yoramu na kuchoma moyo wake, naye akafa papo hapo garini mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Yehu akatwaa upinde wake na kumchoma Yoramu katikati ya mabega. Mshale ukapenya kwenye moyo wake naye akaanguka ghafula ndani ya gari lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Yehu akatwaa upinde wake na kumchoma Yoramu katikati ya mabega. Mshale ukapenya kwenye moyo wake, naye akaanguka ghafula ndani ya gari lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yehu akavuta upinde wake kwa nguvu zake zote, akampiga Yoramu kati ya mikono yake, hata mshale ukamtoka penye moyo wake, akaanguka katika gari lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yehu akatwaa upinde wake na kutupa mshale ambao ulipenya mabega ya Yoramu na kuchoma moyo wake, naye akafa papo hapo garini mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yehu akaushika upindi kwa mkono wake, akauvuta kwa nguvu, akampiga Yoramu katikati ya mabega yake, mshale ukatokea moyoni mwake, akaangukia magotini garini mwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yehu akavuta upinde wake kwa nguvu zake zote, akampiga Yoramu kati ya mikono yake, hata mshale ukamtoka penye moyo wake, akaanguka katika gari lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yehu akatwaa upinde wake na kutupa mushale ambao ulipenya mabega ya Yoramu na kuchoma moyo wake, naye akakufa palepale ndani ya gari lake.